ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 5, 2012

BURUDANI YA NGUVU YA MUSIC KUTOKA KENYA NCHINI DENMARK

 Juu na chini ni Kikundi cha cha musiki wa jadi/sanaa kutoka Kenya kitakachofanya burudani nchini Denmark.
African Fashion designer - Inawaletea onyesho kabambe la mavazi, litakalokwenda sambamba na muziki kutoka Kenya, traditional dance ile rhythm ya ngoma ya jadi ya Africa,  kwa wakazi jiji la Copenhagen na vitongoji vyake . Kutakuwa na burudani ya nguvu ya zaidi ya wasanii 25 kutoka Mombasa, Kenya watakuwepo ndani ya Denmark kuanzia November 21- December 2, 2012 katika kumbi mbalimbali

Ratiba ya show ni kama ifuatavyo:
Tarehe 21 - 24 Novemba, katika ukumbi wa Bremen, Copenhagen.
Tarehe 20 Novemba katika ukumbi wa New Theatre, Horsens.
Tarehe 25 Novemba, Ringsted Congress Centre 
Tarehe 27 Novemba, Værket, Randers 
Tarehe 28 Novemba, Musikhuset,  Esbjerg 
Tarehe 29 Novemba, Vejle Music Theatre, 
Tarehe 30 Novemba, Tinghallen, Viborg  
Tarehe 01 Decemba, Aalborg Kultur and Kongres Center
Tarehe 02 Desemba, Aarhus Concert Hall 

 Kwa picha zaidi ya mavazi yatakayoonyeshwa bofya Read more

Mwananmitindo wa Afromavazi kutoka Copenhagen, DK







Kiingilio ni Kroner 295

KARIBU



No comments: