Mhe.Dk.Hussein Mwinyi (Mb,)Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii amewasili Washington DC kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kufungua rasmi mkutano wa Magonjwa ya Tropiki Yaliyosahauliwa(Neglected Tropical Diseases),mkutano ambao utadumu kwa siku tatu. Pichani Dk.Hussein Mwinyi akipokewa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles na Bw.Suleiman Saleh, Afisa wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Washington DC.
No comments:
Post a Comment