AY na Nancy Sumari katika tuzo za ‘CHOMVA2012
Ambwene Yesaya ana kila sababu ya kupongezwa kwa kuibeba bendera ya Tanzania katika sanaa yake na kuiwakilisha vyema, lakini naye atazidi kuwashukuru sana fans kwa sapoti kubwa kwa kumpigia kura na kumuwezesha kuibeba tuzo ya the Most gifted African East Video mwaka huu kwa video yake ‘I Don’t want to be Alone ft. Saut Sol.
Wakati watanzania tunashangilia tuzo hiyo ni vizuri pia tukakumbuka msitu alioupenya AY kwenye category yake. Aliwapenya wakali wenzake ambao nauhakika kabisa kwa majina waliyonayo na kuhit kwa video zao kila mmoja alikuwa na imani ya kuwa mshindi ,lakini that’s what happened na tuzo imeletwa Bongo Land.
Keko (kushoto)
Video zilizokuwa zinashindana na ya AY ni Kekko feat. Madtraxx-Make You Dance, Camp Mulla-Party Don’t Stop, K’naan feat. Nas-Nothing To lose, na One&Only ya Navio.
Navio (kulia)
Ay alikuwa nominated katika categories tatu lakini ameondoka na tuzo moja ambayo imeongeza sana CV yake ya muziki.
Cpwaa pia aliwakilisha vyema Tanzania mwaka huu kwa kuwa nominated kwenye tuzo hizo na video yake ‘Mhhhh..’ katika category ya the most gifted dance video of the year, na alikuwa na ushindani toka kwa wasanii wengine wa kimataifa na video zao; Dj Cleo-facebook, Dj Zinhle feat. Busiswa-My Name Is, OS3 Feat. Tchoboly-Mokongo, Davido-Dami Duro, na Bucie-Get Over It. Ambapo Dj Cleo na video yake ya facebook aliibuka mshindi. Kuwa nominated tu pia kunaongeza CV kwa Cpwaa na kumuongeza nguvu ya kazi.
Cpwaa na manager wake
Picha kwa hisani ya Bongo5
Hii ni list nzima ya washindi wa CHOMVA 2012
Most gifted African East video of the Year- Ay ft Sauti sol
Most gifted Duo group or featuring video of the year– P Square ft. Akon and May D
Most gifted Ragga – Buffalo Souljah ft Cabo Snoop – Styra Inonyengesa
Most gifted African West Video D-Black ft Mo’ Cheddah (Nigeria) – Falling.
Most gifted African South video of the year Cashtime Fam – Shut It Down
Most gifted Female video of the year – Zahara – Loliwe
Most Gifted R&B Video – Flavour ft Tiwa Savage – Oyi rmx
Most Gifted Dance Video – DJ Cleo – Facebook
Most Gifted Kwaito Video – Ees and Mandoza – Ayoba
Most Gifted Newcomer Video – Davido – Dami Duro
Most Gifted Afro Pop Video – Brymo – Ara
Most Gifted Hip Hop Video – Ice Prince – Superstar
Most Gifted Male Video na most gifted video of the Year Oliver Twist zimechukuliwa na D’banj
Special Recognition Award kashinda Oskido
No comments:
Post a Comment