ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 18, 2012

TOKEA IMBORU SEC SCHOOL, ARUSHA, HADI NORTH CAROLINA,.

Betty(kushoto) na Lilian marafiki waliosoma darasa moja kwenye shule ya sekondari ya Imboru, Mkoani Arusha, Tanzania enzi hizo wakizidi kuendeleza urafiki wao North Carolina nchini Marekani kama unavyowaona wakati waloipogiga picha ya pamoja kwenye UTNC fundraising Dinner iliyofanyika November 17, 2012 mjini humo.

No comments: