Birthday cake ya Shamyil |
Shamyil Bilal akipata ukodak kwenye birthday aliyo kuwa ameandaliwa na mama yake nyumbani kwa Asya Harlem, NY |
Shamyil birthday girl akipata ukodak pamoja na mdogo wake
Shamyil akilishwa kipande cha cake na mama yake mzazi anaeitwa Bi. Zaynabu |
Shamyil bithday girl na mdogo wake, kwapicha zaidi bobya read more |
No comments:
Post a Comment