Mchungaji John Mbatta akiendesha ibada ya Thanksgiving iliyofanyika Jumapili November 18, 2012 kwenye kanisa la The Way Of The Cross Gospel Ministrie iliyoambatana na kutunukiwa vyeti vya shukurani na utambuzi kwa wanahabari wa DMV wakiwemo wanajumuiya wanaofanya kazi kwa kujitolea.
Mchungaji Ferdinand Shideko akielezea neno la Mungu.
Abuu Shatry wa Swahili Villa akitukukiwa cheti cha shukuran na utambuzii kwa kazi nzuri anayofanya kuhabarisha jamiii
Dj Luke (Mpwa) akitukukiwa cheti cha shukurani na utambuzi kwa kazi anayofanya akishirikiana na Timu nzima ya Vijimambo katika kuhabarisha Jamii pia alichukua cheti cha shukurani na utambuzi kwa niaba ya Sunday Shomari ambaye hakuwepo kuchukua cheti hicho.
Mubelwa Bandio wa Changamoto yetu akichukua cheti cha shukurani na utambuzi kwa kazi nzuri anayofanya kuhabarisha jamii pia alimchukulia cheti Iska Jojo ambaye alikua na udhuru uliomfanya kushindwa kufika kwenye Ibada hii ya Thanksging.
David maarufu kama mzee wa kuwavua makoti wachungaji akipokea cheti cha shukurani na utambuzi kwa kazi yake nzuri ya kujitolea kuhudumia jamii.
Carol akiwa na wanae akipokea cheti cha shukurani na utambuzi wa kazi yake ya khudumia jamii.
Rose Mwalulili akipokea cheti cha shukurani na utambuzi wa kazi yake ya kuhudumia jamii.
Dj Luke (Mpwa) kwa niaba ya wanahabari wenzie wa DMV akisema machache na kushukuru wachungaji na kanisa la The Way Of The Cross Gospel Ministrie kwa utambuzi wa kazi wafanyazo wanahabari wa DMV.
David akitoa shukurani kwa niaba yake na watu wengine waliopata cheti kwa kazi zao za kujitolea kuhudumia Jamii.
Mubelwa Bandio akichukua matukia kwa Video.
Kwa picha zaidi bofya read more
No comments:
Post a Comment