Mama mzazi wa Aneth, Asera Mukandala anayeishi Muleba mkoani Kagera akiwa wodini ambapo anamuuguza mwanaye.
(Picha na MBEYA YETU BLOG)
HALI ya mtoto Aneth Johannes aliyekatwa mkono wake wa kushoto baada ya kuchomwa moto, kufungiwa ndani na kulazimishwa kula kinyesi chake na mke wa mjomba wake, Wilvina Mukandala, inaendelea vizuri katika hospitali ya mkoa jijini Mbeya.
KWA YEYOTE MWENYE MAPENZI MEMA, ANAWEZA KUTOA MSAADA WAKE KWA MTOTO ANETH KUPITIA NAMBA YA SIMU YA MKONONI YA MAMA YAKE, ASERA MUKANDALA 0756-293784

1 comment:
Wapendwa, watanzania wenzangu tumchangie huyu mtoto. Hata kidogo ulichonacho itasaidia sana.
Post a Comment