ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 18, 2012

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR AANZA KAZI

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mzee Abrahmani Kinana.alipowasili katika Uwanja wa Demokrasian Kibandamaiti, katika Mkutano wa hadhara kwa wananchi wa Mikoa ya Unguja uliofanyika leo.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia mkono wananchi na wanachama wa CCM,alipowasili katika Uwanja wa Demokrasia Mjini Unguja, katika mkutano wa hadhara wa Mikoa ya Unguja.(kulia) Katibu Mkuu wa Chama CCM Taifa Mzee Abrahmani Kinana,na Kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mzee Abrahmani Kinana,(kulia) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto) na Mwenyekiti wa Mkoa wa Mjini Borafya Silima,wakishangilia wimbo wa Chama wakati wa Mkutano wa hadhara kwa wananchi wa Mikoa ya Unguja uliofanyika katika uwanja wa Demokrasia Mjini Zanzibar leo.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiteta jambo na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Mzee Abrahmani Kinana.wakati wa Mkutano wa hadhara kwa wananchi wa Mikoa ya Unguja uliofanyika katika uwanja wa Demokrasia Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments: