ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 7, 2012

NDOA ILIYOVUNJA RECORD YA DUNIA WANA MIAKA 87 NDANI YA NDOA



Karam and Katari Chand have been married for 87 years and are in the process of being confirmed as Guinness World Record holders for the world's longest marriage
Karam and Bwana Karam na mke wake Katari Chand ni wanandoa walioowana miaka 87 iliyopita na inasemekana ni ndoa iliyo kwenye record  na bado wako pamoja toka waoane. Bwana Karam ana miaka 107 na mke wake ana miaka 100. Na mwaka huu wote kwa pamoja wata sherekea birthday zao kwa pamoja na Mayor wa Bradford, Connecticut atakuwako kama mgeni mwalikwa kwenye birthday hiyo. Bwana Katari na mke wake wana watoto 8 na wajukuu 28. Bwana Katari anasema anampenda sana mke wake na anategemea wata kuwa pamoja kwa zaidi ya miaka 80 mingine ubavuni mwake.

The couple, who are both over 100, have eight children and twenty eight grandchildren together
They maintain that the key to standing the test of time in marriage is looking after each other in every way possible
Hapa wakiwa na wajuu na watoto wao wakishow love kwa smile la afya kabisa usoni kwao

No comments: