Mnyangala anapenda kutoa shukhrani kwa ndugu na jamaa waliowezesha kwa namna moja ama nyingine kufana kwa ubatizo na birthday ya kwaza ya mtoto wake Nolan. Mungu awaongezee mara dufu.
Mtoto Nolan akila pozi baada ya kubatizwa na akiwa tayari kwa bash la birthday.
Mtoto Nolan akipozi na mama yake Mnyangala kwenye bash la Nolan la kutimiza mwaka mmoja lililofanyika Dallas Texas tarehe November 3rd, 2012.
Mnyangala akiwa amepozi na baba na mama wa ubatizo wa Nolan Mr. and Mrs. Mkakile.
Bibi wa Nolan mama Chando akiwa anapata ukodak moment na mjukuu wake.
Nolan akiwa amepozi na shangazi na mjomba kwenye siku yake ya ubatizo na birthday.
Kwa picha zaidi mtembelee IskaJoJo hapa





1 comment:
So cute I am his friend mom
Post a Comment