Sherehe za Uhuru Washington State
KWA NIABA YA UONGOZI WA TANZASEATTLE(NDUGU AMIN DOLA...(PUBLIC RELATIONS...TANZASEATTLE/MAYOR WA SEATTLE.....206 422 3050)TUNAWATANGAZIA WATANZANIA WOTE NA JAAMA/MAARAFIKI WA SEATTLE WA,PORTLAND OR, NA MAJIMBO JIRANI....MNAKARIBISHWA KWENYE SHEREHE YETU.....TUTAKUA NAYE BI MITINDO BI ASYA FIDARUOUS KHAMSINI KUUONESHA MAVAZI YAKE KABAMBE YA KISASA,KIMILA E.T.C.KWA TAARIFA ZAIDI..........WASILIANA NA NDG...K.MAPANA(KATIBU MKUU....206 890 4465),NDG YONA(MWENYEKITI...425 590 9292),NDG J.MKUDDE(MWEKA HAZINA.....206 499 7054),NDG FATMA AL TAMIM....206 225 7534.KARIBUNI WOTE
No comments:
Post a Comment