ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 30, 2012

AUNTY MARTHA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA IBADA

 
Aunty Martha mkazi wa Maryland, nchini Marekani akiwa kanisa la The Way Of The Cross Gospel Ministries siku ya Birthday yake iliyofanyika kanisani hapo
Aunty Martha aiwa na mchungaji Mbatta akisoma neno
ndugu, jamaa, marafiki na waumini wenzake wakiwa kwenye ibada siku ya Aunty Martha aliposherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa ibada iliyofanyikia katika kanisa la The Way of the cross goepel ministries lililopo College Park Maryland
Juu na chini waumini waliojumuika pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kwenye ibada ya siku ya kuzaliwa na Aunty Martha iliyofanyika kanisani hapo.
Picha zote na Mubelwa Bandio
Kwa picha zaidi bofya read more


No comments: