Viongozi wa CHADEMA DMV, Mwenyekiti Cosmas (wapili toka kushoto) Katibu wa Wanawake Aunt Baybe (watatu toko kushoto), Mwenyekiti wa Wanawake Aunty Mariam wakiwa pamoja na waliokuaViongozi wa muda wakati lilipoanzishwa tawi la CHADEMA DMV, Kaley Pandukizi (kushoto) ambaye alikua Mwenyekiti na Liberatus Mwang'ombe (kulia) aliyekua katibu
Liberatus Mwang'ombe na Mwenyekiti wa wanawake CHADEMA DMV Aunty Mariam wakimsikiliza mwenyekiti wao, Cosmas (hayupo pichani) alipokua akiongea na wanachama wa CHADEMA DMV waliojumuika pamoja kwenye sherehe ya kuaga mwaka iliyofanyika Jumamosi December 22, 2012 Mirage Hall.
Mwenyekiti wa CHADEMA DMV Cosmas akionge machache na wanachama wa CHADEMA DMV
Jacob Merere ndiye aliyekua mshereheshaji ya sherehe ya CHADEMA DMV ya kuaga mwaka 2012 iliyofanyika Jumamosi December 22, 2012 Mirage Hall, Hyattsville, Maryland.
Katibu wa wanawake CHADEMA DMV, Aunty Baybe Mgaza akiongea machache.
Mwenyekiti wa wanawake CHADEMA DMV Aunty Mariam akiongea mawili matatu kwenye sherehe ya kuaga mwaka 2012 ya chama hicho iliyofanyika Jumamosi December 2012, Mirage Hall, Hyattsville, Maryland.
aliyekua katibu wa muda wa CHADEMA DMV Liberatus Mwang'ombe akionga na wana CHADEMA DMV
waliokua viongozi wa muda wakiwa pamoja na viongozi wa CHADEMA DMV walioko madarakani wakisimama kuwaombea Watanzania waliopoteza maisha katika vurugu za kisiasa zilizotokea sehemu mbalimbali Tanzania.
WanaCHADEMA DMV wakiwa wamesimama kuwaombea Watanzania waliopoteza maisha katika vurugu za kisiasa zilizotokea sehemu mbalimbali Tanzania.
kwa picha zaidi bofya read more
4 comments:
We had Lots of Fun
Yes, was good time.
Chama bado ni kichanga na hakijashika hatamu na serikali, msikimalize chama kwa kutumia gharama kubwa, kama kutumia ukumbi mkubwa na wafuasi bado wachache, mara nyengine tuchukue ukumbi kulingana wa mahudhurio yanavyoonekana
wanachama tuna umoja tulishirikiana pesa hazikutoka TZ
Post a Comment