ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 24, 2012

JAMANI TOENI MAONI KWENYE JEZI JE INAFAA KUTUMIA NA TIMU YETU YA TAIFA?

Jezi lenye rangi ya bendera ya Taifa iliyodizainiwa na Alex Kajumulo ambae ameomba maoni kutoka kwa wadau kama inafaa kutumiwa na timu yetu ya Taifa

3 comments:

Anonymous said...

Hii jezi haifai kwa sababu ya mpangilio wake wa rangi, kumbuka kuwa bendera ya taifa in rangi nnee. Pia hiyo nembo ya kajumulo mbele na mikono yote inaonyesha ubinafsi. Mfano mzuri ni mataifa yote na timu zao za taifa hakuna hata moja inyotumia nembo ya mtu binafsi huwa ni makampuni makubwa kuondoa ubinafsi.

Anonymous said...

siamini kama hii jezi ilidizainiwa kwa ajili yetu. Hii blue sio yetu, hii inaonekna huyu msanii wa kimataifa anataka kupiga bao. Mara mpira, mara muziki, mara kutetea haki za mashoga........

Anonymous said...

Hoja ya kupinga kutumika kwa jina "Kajumulo" ni dhaifu. Just because Kajumulo ni jina la mtu unadhani haiwezakani kuwepo kampuni inayoitwa Kajumulo? Au tayari umeshafanya utafiti huo?