
Jabir Jongo (aliyesimama) akitoa shukrani kwa wanaDMV kwa kujumuika na yeye kwenye Hitma ya mpendwa mdogo wake iliyofanyika Jumapili December 9, 2012 Greenbelt Maryland.
WanaDMV waliojumuika pamoja na mfiwa Jabir Jongo aliyefiwa na mdogo wake Tanzania November 29, 2012 na kuzikwa December 1
Kisomo kikiendelea
WanaDMV katika picha ya pamoja
WanaDMV wakipata maakuli baada ya kisomo
Kwa picha zaidi bofya read more














No comments:
Post a Comment