| Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakipiga Gwaride kwa mwendo wa haraka. |
| Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mama Maria Nyerere kwenye maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru. |
| Gozibety Mbwele (3)akipiga ngoma kwa umakini na kuwa kivutio cha hali ya juu,mbele yake ni Nyamburi Mganga (5) akicheza kwa umaridadi, watoto hawa ni wasanii kutoka kundi la Utandawazi,Mwanza. |
| Kikundi cha ngoma kutoka Rwanda kikitoa burudani ya kipekee uwanjani hapo. |
| Watoto hodari wakishiriki katika halaiki kwenye sherehe ya kuadhimisha miaka 51 ya Uhuru. |
1 comment:
hongera rais kikwete
Post a Comment