Vijimambo Team inawatakia wadau wote Duniani Christmas njema, msherehekee kwa amani na utulivu, wanaotumia kanywaji kenye kilevi ndani yake tafadhali uwende taratibu kwa faida ya usalama wako na usalama wa watu wengine na mnaopenda kula tafadhali kula kiasi ukiona bado una hamu beba nyumbani hii ni kwa faida ya afya yako uzoefu unaonyesha watu wanaopenda kula sana siku za sikukuu mara nyingi huishia hospitali.
Ujumbe wetu ni huo wadau wa Vijimambo MERRY CHRISTMAS
No comments:
Post a Comment