ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 24, 2012

PITA PITA YA VIJIMAMBO WEEKEND

 Tanzania Miss Universe Winfrida Dominic alejea Tanzania baada ya kumalizika mashindano ya kumtafuta miss universe duniani, mashindano hayo yalifanyika Las Vegas, Nevada na U.S.A Miss Universe kuibuka mshindi.
 Hapa Winfrida akiwa JFK New York tayari kwa safari ya kurudi Tanzania, na kulia kwake ni Maria Sarungi. Maria Sarungi ni mratibu wa mashindano ya Miss Universe Tanzania na walikuwa wote pale Las Vegas kumpa support Winfrida
  Maria Sarungi Tsehai, CEO, Compass Communications Ltd kushoto, Ny and Tanzania miss Universe Winfrida wakiwa JFK Airport New York.

Temba kushoto kati Miss Universe na Maria Sarungi

No comments: