ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 11, 2012

SENENE ZAANGUKA KWA WINGI IRINGA ,WALIMU NA WANAFUNZI WASHINDWA KUINGIA MADARASANI WAOKOTA SENENE


Na: Francis Godwin-Iringa. Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa leo katika mji wa Iringa imeshusha neema kwa wakazi wa mji wa Iringa ambao ni wapenzi wa Senene. 
Uchunguzi uliofanywa katika shule mbali mbali za Manispaa ya Iringa asubuhi ya leo umebaini kuwa idadi kubwa ya wanafunzi na walimu wakia katika mashamba ya shule zao na nje ya vyumba vya madarasa pamoja na wanafunzi wao wakifukuza senene.
Kwa picha zaidi bofya read more

No comments: