ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 23, 2012

TASWIRA MBALIMBALI KWENYE ANNUAL HOLIDAY PARTY YA VIZION ONE

Sherehe ya kufunga mwaka ya Vizion One iliyofanyika Lanham, Maryland siku ya Jumamosi December 21, 2012 na Boss wao Abdallah Kitwala kuwakabidhi wafanyakazi wake watano zawadi za ufanyakazi bora na wengine kupata zawadi za sikukuu ya Xmas na mwaka mpya.
Mshereheshaji Tuma akifafanua jambo
Juu na chini picha mbalimbali kwenye zuria jekundu na twasila mbalimbali za matukia yaliyotokea siku hii maalum ya kambpuni hii kufunga mwka kwa kishindo.
Mwenyekiti wa CHADEMA DMV Cosmas akiwa kwenye zuria jekundu
kwa picha zaidi bofya read more


No comments: