ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 23, 2012

SUNDAY NA ELINITA WASHEREHEKEA HARUSI YAO MAREKANI

Sunday Shomari akiwa na Elinita Mhando wakati wa Ndoa yao iliyofanyika September 29, 2012 katika kanisa la Mt. Emmaculata,Upanga jijini Dar es Salaam. Tanzania


Sunday na Elinita wakichumu kama ishara ya upendo kwenye sherehe ya kusherehekea harusi yao iliyofanyika Lanham, Maryland Jumamosi December 22, 2012 na kuchukua nafasi hii kuwashukuru ndugu, jamaa na marafiki waliohangaika usiku na mchana ili sherehe yao ya ndoa Tanzania na Marekani ifane
Sunday na mdhamini wa pendo lake Elinita wakiongozana na mshereheshaji Tuma wakiingia ukumbini.
Sunday Shomari na Elinita Mhando wakiingia ukumbini huku wakinesanesa na nyimbo za injili.
Familia ya Sunday ya Marekani ikiwaunga mkono Sunday na Elinita walipokua wakicheza mdumange wa Robert Shauri.
Sunday na Elinita wakipakua chakula
Juu na chini Sunday na mdhamini wa pendo lake, Elinita wakilishana keki
Mmmmmwahhh
Wawakilishi wa wazazi wa Sunday Marekani  Uncle George na Aunty Grace wakiongea wakiwahusia Sunday na Elinita na kuwashukuru watu wote kwa mafanikio  ya sherehe hizi Tanzania na Marekani.
Sunday na Elinita wakifungua mziki
kwa picha zaidi bofya read more





No comments: