ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 9, 2012

UHURU DAY JIJI LA WAJANJA, OAKLAND ZAFANA MISSY TEMEKE ANG'ARA

Mwenyekiti wa CCM DMV Loveness Mamuya akiwakilisha ndani ya ukumbi wa Califorinia Ballroom Jiji la wajanja, Oakland kwenye sherehe ya Uhuru wa Tanzania kutimiza miaka 51 zilizofanyika 1736 Franklin Street na kuhudhuliwa na Watanzania kutoka ndani na nje ya California 
Mwenyekiti wa CCM DMV Loveness Mamuya katika picha ya pamoja na wadau wa California aliyechuchumaa na Missy Temeke aliyekuwa huko maalum kuwakilisha KWETU Fashiona Design  kwa fashion show kabambe iliyong'arisha sherehe hiyo ya Uhuru ya miaka 51 ya Tanganyika
Dj Tom a.k.a. Jay Z akifanya vitu vyake
Missy Tameke wa KWETU Fashion Design (kati) katika picha ya pamoja na Phanuel Ligate( kushoto) Mwenyekiti wa CCM DV Loveness Mauya pamoja na mdau

Walter Minja katika picha ya pamoja na Missy Temeke ishara ya kumpongeza kwa kazi nzuri

Missy Temeke katika picha ya pamoja na mdau

Models wakipita na vivazi vya KWETU Fashion Design by Missy Temeke kwenye sherehe ya Uhuru ya miaka 51 wa Tanzania bara uliofanyika California Ballroom jiji la Wajanja Oakland.

Model akipita mbele ya mashabiki

Model Geradine kutoka DC akiwakilisha na KWETU Fashion Design by Missy Temeke

Model akipita mbele ya mashabiki wa fashion show

Models katika picha ya pamoja
Kwa picha zaidi bofya read more

Picha zaidi baadae

1 comment:

Anonymous said...

Sasa luka pale ndio kangara nini?