
Naandika kiswahili kwa sababu English hujui, wewe ,,,,, ni Crazy kweli kila siku unatafuta cha kufanya ili uonekane wewe mtu mzima sasa miaka 39 umekwisha inabidi ukubali dont be so stupid! na wewe Dj Luke uache kuwa unaliweka hili pumbavu kila siku kwenye blog yako unafanya watu wengi waache kusoma blog yako kwani unaonekana you have something to do with this fool!!-Anonymous
------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Hii ni comment ya mdau anayejiita ANONYMOUS wewe mtoa comment hii ninakusikitikia sana unajua hii ni chuki binafsi na unajua hilo ndio maana umeficha jina lako inaonyesha jinsi gani ulivyokua hodari kuongelea uvunguni nakuomba siku nyingine kama unayako ya rohoni nyanyua simu mpigie muhusika kamwe usitumie Blog kama kivuli chako cha kueneza chuki uliyokua nayo Blog hii ni ya jamii iliyozungukwa na watu wenye upendo na amani, chuki si mahali pake asante
No comments:
Post a Comment