Saturday, December 22, 2012

VIZION ONE YAFUNGA MWAKA KWA KISHINDO

Boss wa Vizion One Abdallah Kitwala akiongea machache kuwapongeza wafanyakazi wake kwa kazi nzuri na kuwaasa kwamba kufanyakazi kwa bidii na kujituma ndio msingi wa mafanikio
Boss wa Vizion One Abdallah Kitwala katika picha ya pamoja na mke wake.
Abdallah Kitwala na mke wake wakipata picha ya pamoja na wafanyakazi waliochukua tuzo ya ufanyajikazi bora wa mwaka 2012
Wafanyakazi wa Vizion One wakimzawadia Boss wao na mkewe zawadi ya Xmas
 
Kama ishara ya upendo na mshikamano, Abdallah Kitwala akiongoza wafanyakazi wake kugonganisha glasi za champagn
 Juu na chini ni Wafanyakazi wa Vizion One na marafiki zao wakigonganisha glasi kama ishara ya upendo na mshikamano
Boss wa Vizion One akiwazawadia wafanyakazi wake
 Ma-Bartender wa kimataifa katika picha ya pamoja
 Wageni wakiwa na marafiki wa Vizion One katika picha ya pamoja
Bwana na Bi harusi katika picha ya pamoja
kwa picha zaidi bofya read more

Picha zaidi baadae

1 comment:

Anonymous said...

Hiyo vizion one ndio nini? sio wote tunafahamu....