Aunt Wahida akitayarisha sehemu ya maakuli kwa mapambo kama anavyoonekana kwenye chakula cha jioni kilichoandaliwa na KWETU fashion by Missy Temeke nyumbani kwa Missy T Silver Spring, Maryland Ijumaa January 11, 2013 kwa ajili kumuaga Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico anayemaliza muda wake.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Maajar akiwa na mumewe Bwn. Shariff Maajar wakiwa nyumbani kwa Missy Temeke ambae kampuni yake ya KWETU fashion ilimuandalia Balozi chakula cha jioni kwa ajili ya kumuaga rasmi Mhe. Balozi anayemaliza muda wake.
kutoka kusho ni Mr. Matope ambae ni mume wa Missy Temeke, Beach Boy na Seif Msabaha wakipata ukodak moment
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Maajar pamoja na mumewe Bwn. Shariff Maajar wakiwa kwenye chakula cha jioni kilichaandaliwa maalum na KWETU fashion by Missy Temeke kwa ajili ya kumuaga. Balozi Maajar anayemaliza muda wake baada ya kuwa balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico kwa takribani miaka miwili na miezi minne kabla ya kuja Marekani alikua Balozi wa Tanzania nchini Uingereza kwa miaka Minne.
Mr & Mrs Ameir wageni waalikwa kwenye chakula cha usiku kilichaandaliwa maalum kwa ajili ya kumuaga Mhe. Balozi Maajar.

Kutoka kushoto ni Missy Temeke, Mhe. Balozi Maajar na Bwn. Shariff Maajar, mume wa mhe. Balozi wakiongea jambo wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa maalum na KWETU fashion kwa ajili ya kumuaga Mhe. Mwanaidi Maajar ambaye anamaliz muda wake.





1 comment:
Jamani so nice nimependa sana jinsi! Mnavyompa ukarimu balozi na mumewe hongera sana kwetu fashion design na dmk. Kwa kazi kubwa mliyoifanya.
Post a Comment