Advertisements

Wednesday, January 9, 2013

‘BETHIDEI’ YA BENY KINYAIYA YAFANA KWENYE BAA YAKE KINONDONI

Beny Kinyaiya (kulia) akiwa ameshikilia keki ya sherehe yake kabla ya kuikata na kuwalisha wageni wake.
Beny akikata vipande vya keki kuwalisha waalikwa
Akilishwa keki kwa staili yake.
Huyo ni rafiki yake.
Akimlisha Lady Naa keki.
kwa picha zaidi bofya read more
Castor Dickson akionjeshwa keki.
Babu wa Kitaa alikuwepo.
Nisha naye alishiriki.
Huyo ni kaka yake Beny.
Steve Nyerere akionja ladha ya keki hiyo.
Babu wa Kitaa akipata chakula na marafiki zake.
Steve Nyerere, Nisha na marafiki zao wakiwa katika pozi.
Baadhi ya waalikwa wakipata ‘mbili-tatu’.
Marafiki zake wakimmwagia pombe na maji.
Akiendelea kumwagiwa maji.
Mvua ya maji na pombe ikiendelea kumuangukia.
Mzaliwa leo’ akiomba asiendelee kumwagiwa maji.

MTANGAZAJI wa kipindi cha Mamaland kinachorushwa na runinga ya Clouds, Beny Kinyaiya , usiku wa kuamkia leo amefanya sherehe ya kuzaliwa kwake (bethidei) ndani ya baa yake Kinondoni jijini Dar es Salaam. Sherehe hiyo ilifana vilivyo kutokana na kuhudhuriwa na marafiki zake kibao.

(Habari/Picha: Musa Mateja/GPL)

No comments: