ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 31, 2013

LADY IN RED 2013 YAFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI


 Mama wa mitindo na mkurugenzi wa Fatbak Fashions Asya Idarous Khamsin akifanya mkutano na waandishi wa habari yote ni katika matayarisho ya mwisho mwisho ya LADY IN RED 2013 itakayofanyikia Serena Hotel siku ya Juammosi Feb 9, 2013
 Watayarishaji wengine wakipata picha kabla ya mkutano na waandishi wa habari kuanza
 Juu na chini ni Watayarishaji wa Lady In Red wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa Habari
Juu na chini ni Mama wa mitindo na mkurugenzi wa Fatbak Fashions Asya Idarous Khamsin (kati) akiwa na kundi lake wakifanya mkutano na waandishi wa habari katika matayarisho ya mwisho mwisho ya LADY IN RED 2013 itakayofanyikia Serena Hotel siku ya Juammosi Feb 9, 2013
 Juu na chini ni Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin katika picha ya pamoja na watayarishaji wenzake wa LADY IN RED 
Picha na kikundi kizima cha LADY IN RED

No comments: