ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 11, 2013

Mabondia Thomas Mashali wa Tanzania na Benard Mcociech wa Kenya wapima uzito

Mabondia Thomas Mashali wa Tanzania (kushoto) na Benard Mcociech wa Kenya wakitunishiana Misuli baada ya kupima Uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao wa 
Ubingwa wa Afrika Mashariki utakaofanyika leo katika ukumbi wa Frends Corner Manzese 
Mabondia Thomas Mashali wa Tanzania (kushoto) na Benard Mcociech wa Kenya wakitunishiana Misuli baada ya kupima Uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao wa 
Ubingwa wa Afrika Mashariki utakaofanyika leo katika ukumbi wa Frends Corner Manzese picha na www.superdboxing coach.blogspot.com

No comments: