ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 11, 2013

SHUKURANI SANA

Familia ya Baybe Mgaza wa Maryland, USA na Dar Es Salaam, Tanzania  inawashukuru kwa support waliotoa ndugu na rafiki kwa msiba wa Bi Mariam uliotokea Tanzania Ijumaa iliyopita January 4, 2013 na kuzikwa baada ya sala ya Ijumaa.

Familia inawashukuru wote kwa ktufariji katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wetu. Hatun cha kuwalipa kitakacholingana na makubwa mliotufanyia, tunashukuru sana na Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema atawazidishia mara mbili ya hayo yote.

No comments: