ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 3, 2013

WIMBO ULIOHAMISHA KUCHANGIA MATIBATU YA SAJUKI



Mboni Yangu - Wimbo wa uhamasishaji wa kumchangia Sajuki ulioimbwa na wasanii mbalimbali.

1 comment:

Anonymous said...

ebwana weee dj luke nakufagilia mwanangu kwa kazi yako maridhawa unayoifanya kutuwekea habari nyimbo michezo maridhawa ya kutu elimisha na kutufariji mungu akubariki mkuu duu wewe kweli shoka,nimependa ile mbaya hii clips siku hizi bongo mambo motomoto siyo ile bongo ninayoijua mimi duu watu wana chacharuka kiyama.

katika ujumbe wa nyimbo hii maneno yake yote poa isipokuwa nina swali wameimba na kusema kuamkani unapo dondoka ni wajibu waku kuinuka ama laa lakin nauliza hivi nani asiye taka kuinuka? sidhani kama yupo na wana inuka huwa wana mtu au watu walio karibu nao wanawasaidia usiyekuwa na ye kama mwenzangu na mimi utainukaje?

tuabiyane ukweli kila mtu anataka kuinuka na hakuna aliye inuka bila kupata msaada kwa mtu wau watu walio karibu naye wanaomjali au hata walio mbali na yeye wanaomjali.

any way ujumbe umefika mkuu poa ile mbaya shukran nyimbo bomba wadau sikilizeni