Chanzo cha habari hii kimeeleza kuwa,Mr Blue a.k.a Kabaisa ametolewa vyombo vyake vyote vya ndani na watu wa Shirika la nyumba la Taifa, baada ya kujilimbikizia vyumba viwili kwa njia ya udanganyifu bila malipo yoyote. HABARI ZAIDI TUNAENDELEA KUZIFUATILIA HIVYO ENDELEA KUWA NASI KARIBU.
No comments:
Post a Comment