Sumalee ambae ni msanii kutoka Tanzania anaefanya shughuli zake za kimuziki akitamba na ngoma zake kadhaa kali kama "HAKUNAGA" na nyinginezo amekutwa na msiba huu huku yeye akiwa nchini Uingereza katika kazi zake za muziki.
Sumalee pia alimpoteza mama yake mzazi akiwa nchini Marekani kikazi.
No comments:
Post a Comment