Friday, February 1, 2013

CHOKORAA MKURUGENZI WA BENDI YA MAPACHA WATATU AJIKUTA AKITAMBULISHIWA MDHAMINI WAPENDO LAKO NAKUBAKI AKIDUWA ASIKUBARI WALA ASIKATAE CHOMBO KIKIWA MBELE YAKE

Huyu ni Chokoraa mkurugenzi wa bendi inayofanya vizuri kabisa katika music wa dance ndani ya bongomjini mapacha watatu
MMOJA wa wamiliki na Mkurugenzi wa Bendi ya Mapacha Watatu Khareed Chokoraa, amejikuta akitambulishiwa demu wake na wadau wa muziki wa dansi Bongo, pasipo yeye kujifaham, msanii huyo ambaye mara kwa mara amekuwa akionekana kuwa karibu na mrembo mmoja anayekwenda kwa jina la Lulu Kiruvia, juzi mmoja wa mashabiki wake ambaye hakupenda jina lake litajwe aliamua kupasua jipu kuwa mwana mke huyo pichani ndiye roho ya Chokoraa na kwamba wanapika na kupakua nyumbani kwa mwanamuziki huyo Mwananyamala jijini Dar, ingawa habari kutoka kwa vyanzo vyetu zinadai kuwa kila Chokoraa amekuwa na tabia ya kila anapoulizwa juu ya uhusiano wake na Lulu hubisha hadi hatua ya mwisho na kusema ni rafiki yake wa kawaida tu.

No comments: