Esther anatoa shukrani kwa ndugu na jamaa walio support kwa njia moja ama nyingine katika kufanikisha shughuli yake ya Diaper Shower iliyofanyika siku ya Jumamosi Feb. 2nd, 2013 Sheraton Hotel ya Beltsville, maryland (USA).
Esther akipozi na baadhi ya zawadi ambazo alizipata kwenye siku ya Diaper shower yake iliyofanyika Sheraton Hotel ya Beltsville siku ya Jumamosi February 2 2013.
Esther akipozi kwenye keki kwenye siku ya Diaper shower yake iliyofanyika Sheraton Hotel ya Beltsville siku ya Jumamosi February 2 2013
Ndugu jamaa na marafiki waliofika kumpa support Esther kwenye siku ya Diaper shower yake iliyofanyika Sheraton Hotel ya Beltsville siku ya Jumamosi February 2 2013.Picha zaidi bofya hapa
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake