Tuesday, February 5, 2013

HAPA NA PALE SOUND YAMZINGUA DIAMOND AKIWA KIGOMA NA MCHAKATO WA CCM LIVE SHOW


MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya  Bongo, Diamond Platinum ambaye jana alikuwa akitumbuiza mjini Kigoma katika sherehe za maadhimisho ya miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi 'CCM', ubovu wa  vyombo  vya muziki vilivyokuwa vikitumika  kwenye tamasha hilo vilimfanya kusimamisha shoo yake kwa muda  hadi pale viliporekebishwa na kuanza kutumbuiza upya.

Awali Katibu Mwenezi wa chama hicho, Nape Nauye alimkaribisha na kumruhusu msanii Diamond alishambulie jukwaa kwa ajili ya kuwapa burudani wakazi wa Kigoma ambapo walipiga kelele za shangwe huku wakikimbilia mbele ya jukwaa kumuangalia star huyo mwenye mashabiki kibao ambao waliwapa wakati mgumu pia walinzi wa CCM waliokuwa wakiwazuia.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake