Tuesday, February 5, 2013

MSHIRIKI WA BIG BROTHER AFRICA AMPLIFIED MILLICENT MUGADI ASHINDA TIKETI YA KUGOMBEA UBUNGE NCHINI KENYA


big brother amplified,Millicent Mugadi,Mwanadada Mrembo na Mzuri kwenye Tasnia
ya Uigizaji Nchini kenya Ameshinda Kinyang'anyiro cha ugombeaji uchaguzi
unaoendelea Nchini Kenya....!!
Mill,Mlimbwede amabae ni mwanamke pekee anaefanya jitihada kubwa kabisa
kugombea Ubunge katika jimbo nchini kenya kupitia chama cha TNA
Kinachoongozwa na Nguli wa Siasa Nchini Kenya Uhuru Kenyata
akizungumza Millicent 'Sikujua kama uigizaji wangu wa Filamu
kipindi chote kama Ningeweza kumudu Siasa....kiukweli ni jambo ambalo
nimeamua na niko tayari kwa mapambano kuelekea uchaguzi mkuu
tarehe 4/3/2013
"Nimekuwa nikipata changamoto kubwa tokea nimejikita kwenye
siasa lakini afrika inabidi tubadilike tuwape wanawake nafasi...,
ambao wamejikita kwenye maendeleo ya jamii na si siasa pekee yake..!!

Pia Millicent aliendelea kusema "Mimi ni Mnyenyekevu sana
na nafurahi kuona support nayopata kutoka kwa wananchi na mi
nawahaidi kufanya makubwa katika kipindi ntakachokuwa bungeni...!!

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake