ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 23, 2013

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AMUAGA MSAIDIZI WAKE

katibu Mkuu Kiongozi balozi Ombeni Sefue(Kushoto) akimpa zawadi Bwana Francis Mwaipaja na mkewe wakati wa hafla fupi ya kumuaga iliyofanyika katika mgahawa wa Great Wall jijini Dar es Salaam jana.
Akiongea katika hafla hiyo Balozi Sefue alisema kwa Bwana Mwaipaja ni mtu wa kuaminika katika utendaji wake wa kazi na ni mtulivu na makini.Bwana Mwaipaja amehamishiwa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Bwana Mwaipaja aliyekuwa msaidizi wa Katibu mkuu kiongozi alimshukuru Balozi Sefue na kusema amejifunza mengi ikiwemo kuzingatia muda katika utendaji kazi,kutekeleza majukumu kwa ufasaha na ufuatiliaji mambo kwa karibu.(picha Freddy Maro) picha kwa hisani ya Audfaceblog

No comments: