ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, February 20, 2013

KIKOSI CHA JESHI WANAMAJI TANZANIA WATEMBELEA MELI YA KIRUSI YA KUPAMBANA NA MAHARAMIA

Afisa Mwandamizi wa jeshi la wanamaji kautoka Urusi Admiral Vdovenko akiwaonyesha wanajeshi wa jeshi la maji la Tanzania moja ya bunduki ya kisasa wanayotumia katika kupambana na uharamia uanaofanya na magaidi katika bahari ya hindi , wakati wanajeshi wa tanzaania walipotembela katika meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka leo februari20 2013.
Luteni Kanali wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff (kushoto)akiwaelezea wanajeshishi wa Jeshi la Wanamaji wa Tanzania jinsi moja ya vifaa vya kivita wanavyotumia katikai ulizi wa kupambana waharamia wakati wanapofanya doria baharini. wakati walipotembelaa katika Meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka leo februari20 2013.
.Luteni wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff (watatu kutoka kulia)akiwaelezea wanajeshishi wa Jeshi la Wanamaji nchini jinsi nchini yao inavyofanya ulizi wa kupambana na waharamia kwa kutumia herokpta wakati walipotembelaa katika Meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka leo februari20 2013.
Meja wa jeshi la wanamaji la Urusi aliyejitambulisha kwa jina la But, akimsikiliza mmoja wa askari wa jeshi la wanamaji Tanzania wakatimalipokuwa akimuliza swali kuhusiana namatumizi ya bunduki ya kisasa wanayotumia katika kufanya ulizi wa kupambana na uharamia katika bahari ya hindi wakati walipotembelaa katika Meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka leo februari20 2013.
Wanajeshi wa jeshi la wanamaji kutoka Urusi wakinyenyua moja ya bunduki wakati walipokuwa wakitoa elimu kwa wanajeshi la wanamaji la Tanzania wakati walipotembela katika meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka leo februari20 2013.
Mkuu wa msafara wa meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, Admiral Eremin (katikati) akitoa elimu kwa wanajeshi wa jeshi la Wanamaji la Tanzania juu ya kupambana na maharamia katika bahari ya hindi , wakati wanajeshi hao walipotembela katika meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka leo februari20 2013.kulia ni Afisa Mwandamizi wa jeshi la wanamaji kautoka Urusi Admiral Vdovenko na kushoto ni Luteni wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff. 
Wanajeshi wa jeshi la wanamaji la Tanzania wakijaribu bunduki huku Luteni wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff akiwapa maelezo juu ya siraha hzio ambazo zinatumika katika kupambana na uharamia baharini wakati walipotembelaa katika Meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka leo februari20 2013.

No comments: