ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 21, 2013

KILA KAZI NA KASHESHE ZAKE..NA HAWA HUKUTANA NA HAYAA.

Mamodel nao wakati wakuonyesha mavazi hukumbana na haya....
Disigner kabuni viatu vyake japo ni kazi za wenyewe wanajimudu kutembelea lakini kama hili linaweza kutokea.
Nina uhakika akitoka hapo anajisikia vibaya sana kuanguka mbele za watu.
Hapa mguu ushageuka dada anajitahidi asianguke.
Hapo unatakiwa utembee kwa mwendo wa mbwembwe na madaha uonyeshe nguo au viatu kwenye hiyo runway ghafla umekosea step mguu pwaaa chini.Kila kazi ina changamoto zake kwa kweli na tuheshimu kazi za wengine.Usione kama kazi yako ni nzuri na bora kuliko ya mwenzako.

No comments: