ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 21, 2013

FLAVIANA MATATA AKIWA KAZINI NEW YORK CITY

Falaviana Matata ni mrimbwende wakitanzania anaefanya kazi zake za mitindo katika jiji la New York City. Na pia husafiri kikazi katika nchi za bara la Ulaya na pia Africa. Flaviana ni mtanzania pekee kwa sasa anaefanya vizuri kimataifa katika anga za mitindo. Hapa Flaviana akiwa mzigoni katika moja ya show zake ndani ya New York City.

No comments: