Monday, February 4, 2013

MCHEKESHAJI NA PIA MSANII WA FILAMU APATA JIKO



Msanii wa Filamu za kuchekesha hapa nchini maarufu kama Kitale, jana amesherehekea siku yake muhim, kwa kufunga ndoa na mpenzi wake, ambae leo hii tunamuongelea kama mkewe, Bi Fatma Salum. Ndoa hiyo ilifungwa majira ya Saa nane

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake