Saturday, February 9, 2013

MIAKA 3 YA VIJIMAMBO NA TAMASHA LA UTAMADUMI WA KISWAHILI AMERIKA YA KASKAZINI JULY 6, 2013


Vijimambo Blog inapenda kuwataarifu wadau wote kwamba siku ya July 6, 2013 itasherehekea miaka 3 ya Blog ya Vijimambo na kukuletea Tamasha la Utamaduni wa kiswahili Amerika ya Kaskazini hapa DMV kwenye Hall la Hampton Conference Center lililopo 207 w Hampton Pl, Capitol Height, MD

Mambo mengi yatakuwepo, Vikundi mbalimbali vya utamaduni, vyakula vya Kitanzania, yote ni kudumisha utamaduni wa kiswahili Amerika ya Kaskazini

TEGA SIKIO HABARI ZAIDI ZITAFUATA
-------------------------------------------------------
kwa wajasiliamali ambao wangepenga kudhamini na kuijipatia meza ya kutangaza bidhaa au shughuli wazifanyazo tafadhali wasiliana 301 613 5165 Asante

No comments: