-Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova (kushoto)akipata maelezo ya vitu vinavyotengenezwa kwa kutumia Kombe za Pwani kwa Meneja wa Duka la Fahari Zanzibar Azza Salum katika moja ya maduka alioingia katika Sehemu za Mji Mkongwe ikiwa ni miangoni mwa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova (kushoto)akiangalia Utamaduni wa Ususi wa Kindu ambazo hutengezewa vitu mbalimbali,makawa, Mikeka hata Mikoba katika moja ya maduka alioingia katika Sehemu za Mji Mkongwe ikiwa ni miangoni mwa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova (wanne kutoka kushoto)akitembelea sehemu za Mji Mkongwe wa Zanzibar ikiwa ni miangoni mwa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar
Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova (Wapili kulia)akiangalia Jumba la Bait El Ajaib Farodhani ambalo liliporomoka a sasa likifanyiwa Ukarabati ndani ya Mji Mkongwe ikiwa ni miangoni mwa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar
Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova (kulia)akipata maelezo ya Vifaa alivyokuwa akitumia Mfalme Said Bin Sultan kwa Mkurugenzi Idara ya Makumbusho Dk Amina Amei Issa baada ya kutembelea jumba Wananchi Forodhani ikiwa ni miangoni mwa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
PICHA Kwa hisani ya SALMA SAID ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake