Ndugu wapendwa: Kwa niaba ya familia ya DJ Rich Maka, ndugu na marafiki zake tunapenda kuwaalika kwenye misa ya kumbukumbu ya marehemu mzee
Edson Mwandemani itakayofanyika.
Katika kanisa la Mtakatifu Michael 254 State Street,
Springfield, Ma 01103
toka saa tisa alasiri (3pm -4pm)
na reception itafanyika St.
Mark Armenian Church iliyoko 2427 Wilbraham Road,
Springfield, Ma 01129
surtaday febr 23 saa kumi jioni.
Mpaka saa nne usiku (4pm -10pm).
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake