MWANAMKE ALIYEMLISHA MTOTO KINYESI NA KUSABABISHA MKONO WA MTOTO HUYO KUKATWA HUKUMU YAKE TAREHE 18/2/2013
WILVINA MKANDALA AKIWASONYA NA KUWAKEJELI WAKAZI WAMAJENGO MBEYA WALIOKUJA KUSIKILIZA KESI YAKE KWA KUWAAMBIA 'MMEACHA KUKAA MAJUMBANI MWENU MMEKUJA KUFUATA UMBEYA TU NIACHENI KUNIFUATAFUATA' HUKUMU YA WILIVINA MKANDALA ITATOLEWA TAREHE 18/2/2013
BAADHI YA WAKAZI WA MAJENGO NA WAANDISHI WA HABRI WAKIMSHANGAA WILVINA MKANDALA MAHAKAMANI HAPO JANA
Mtu mzima na akili timamu hawezi fanya hivyo.Huyu mama anahitaji uchunguzi wa kina kuhusu hali yake kiafya(Physcological) kuna wengi wana matatizo ya akili jamii haitambui hebu tuende na wakati
Mtu mzima na akili timamu hawezi fanya hivyo.Huyu mama anahitaji uchunguzi wa kina kuhusu hali yake kiafya(Physcological) kuna wengi wana matatizo ya akili jamii haitambui hebu tuende na wakati
ReplyDelete