ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 25, 2013

Serikali imelitaka TFF kusitisha zoezi la uchaguzi wa viongozi..

1 comment:

Anonymous said...

Soka limetushinda. Kwanini tusiwekeze kwenye michezo mingine mizuri tu kama mieleka, kuruka kamba, kukimbiza kuku, mbio za magunia, michezo ya kujificha (tiali-bado), kuvuta kamba,kupokezana vijiti, mdako, bao, nk. Inawezekana tukawa mabingwa wa dunia katika moja ya michezo hiyo. Mgombea urais TFF anaenguliwa eti kwa sababu anao upeo mdogo wa kuelwa mpira wa miguu. What a democracy!