Advertisements

Monday, February 25, 2013

TIMBULO ASHUKIWA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA

Kuna tetesi kuwa msanii amekamatwa mjini Bujumbura, Burundi kwa tuhuma za kukutwa na madawa ya kulevya.Timbulo alikuwa nchini humo akiwa anafanya shows mbalimbali. Bado tunaendelea na kufuatilia taarifa kamili juu ya msanii huyu.
Msanii wa kizazi kipya maarufu kama Timbulo ambae anatamba na baadhi ya ngoma zake kama Domo Langu, WaleoWakesho, Samson Na Delila na ngoma hizo kumfanya atambulike zaidi katika tasnia hii ya muziki inasemekana amekamatwa na madawa ya kulevya.(Habari na Gonga Mix)

No comments: