ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 25, 2013

GOLDIE HARVEY AZIKWA LEO

Aliyekuwa mwanamuziki maarufu kutoka Nigeria, marehemu Goldie Harveyamezikwa leo huko Ikoyi, Nigeria. Mazishi hayo binafsi yamefanyika katika makaburi ya Vaults and Gardens yakihusisha familia na watu wa karibu.
Marehemu mwanamuziki Goldie alifariki alhamis ya Tarehe 14 mwezi huu akirejea kutoka Los Angeles, Marekani.
Mungu amlaze marehemu Goldie mahali pema peponi. Amen.

No comments: