Friday, February 8, 2013

UGONVI WA KUGOMBEA MWANAMKE WASABABISHA KIFO UKO MBEYA

MWILI WA MAREHEMU DANIEL MWASALEMBA 30 UKIWA UMELALA KWENYE MAJANI BAADA YA KUTOLEWA NDANI MAREHEMU AMECHOMWA VISU KISA NI UGOMVI WA KUGOMBANIA MWANAMKE AITWAE ELIZABETH MICHAEL
ANAYEDHANIWA KUSABABISHA KIFO CHA DANIEL AMEJULIKANA KWA JINA MOJA TU PETER YEYE NI MWENYEJI WA SUMBAWANGA NA NA NIMWOSH MAGARI YA KAMPUNI YA MABASI YA SUMRY JIJINI MBEYA AKIWA AMEPATA KIPIGO TOKA KWA WANANCHI WENYE HASIRA KALI
HAPA PETER AKIOKOLEWA NA WANAUSALAMA WALIOWAHI ENEO HILI LA TUKIO ASUBUHI HII
HIKI NDICHO CHUMBA ALIMOUWAWA MAREHEMU DANIEL
NDUGU WA MAREHEMU WAKIANGUA KILIO MARA BAADA YA KUONA MWILI WA NDUGU YAO DANIEL
HAKIKA ILIKUWA KAZI KUBWA SANA KWA POLISI KUMUOKOA PETER ANAEDHANIWA KUMUUA DANIEL KUMUOKOA KATIKA MIKONO YA WANANCHI WENYE HASIRA KALI
ANAEDHANIWA KUMUUA DANIEL AKIWA AMELALA CHINI BAADA YA KIPIGO KIKALI TOKA KWA WANANCHI WENYE HASIRA KALI
POLISI TAYARI WAMEUCHUKUA MWILI WA MAREHEMU DANIEL HABARI KAMILI MBEYA YETU ITAZIDI KUKUJUZA KWANI BADO TUPO ENEO LA TUKIO

1 comment:

  1. Ah!. Watanganyika na nyie mumezidi yakhe. Mumekosa busara na hekima.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake