Wednesday, February 27, 2013

Wafanyakazi wa kiwanda cha nguo wapoteza fahamu baada


Wafanyakazi zaidi ya 30 wa Kiwanda cha MAZAVA kilichopo MSAMVU Mkoania Morogoro wamepoteza fahamu baada ya kukosa hewa kufuatia shoti ya umeme kutokea kiwandani hapo na kusababisha moshi mwingi

No comments: